| Content MarketPlace |
SHUJAA Ep. 1 || Swahili Movie || Bongo Movies Latest || African Latest Movies
SHUJAA ni filamu bora ya Kiafrika/Tanzania iliyojaa matumaini, kutia moyo kwa watu wanaopitia maisha magumu, dhiki na taabu mbalimbali za kimaisha.
Kwa kutazama Filamu hii utajifunza mengi na kuanzia hapo amini wewe kuwa ni SHUJAA.
Stering:
Michael Kapaya
Hamis Lugonda
Zindola Mchina
Director:
Samiri Pocy
.........................................................................................................................................................................
Hii ni moja kati ya Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania series itakayokujia Jumapili saa 3:00 Usiku (21:00).
Endelea kufuatilia hadi mwisho,usisahau kulike,share zaidi kusubscribe.
Tunaomba support yako kwa kushare kwa wengine, ila zaidi uendelee kujifunza kupitia filamu zetu za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania. WE LOVE YOU ALL.
...........................................................................................................................................................................................
KAPAYA THE GREAT FILM
Contact:
0655 218 331/0753 318 331
email. kapayamic75@gmail.com
Instargram
Kapayathegreat
TANZANIA.